RAIS SAMIA AMTEUA DKT. MCHEMBA KUWA WAZIRI MKUU

 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu wa tanzania.

Jina la Mwigulu ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi limewasilishwa na Mpambe wa Rais bungeni leo Novemba 13, 2025 ambapo wabunge wanatarajiwa kupiga kura ya kumthibitisha muda mfupi ujao.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA

JESHI LA POLISI LATEKELEZA AGIZO LA RAIS SAMIA, LAONDOA KIZUIZI CHA KUTOTOKA NJE BAADA YA SAA 12 JIONI