JK AITEKA MBALIZI

Mgombea Urais kupitia CCM Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi wa mji wa Mbalizi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika siku ya pili ya ziara yake katika mkoa wa Mbeya ili kuomba ridhaa ya wananchi ili waweze kumchagua tena katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 31.10.2010.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--