KARUME AMWAKILISHA JK UZINDUZI WA KATIBA KENYA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume,akiwapungia mkono maelfu ya wananchi wa Kenya wakati alipohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Katiba Mpya ya Kenya katika Uwanja wa Uhuru jana.Rais Karume alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--