MCT YAKERWA NA UKIUKWAJI WA MAADILI YA HABARI UCHAGUZI MKUU

Katibu Mtendaji wa Barza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu hali iliyojitokeza ya ukiukaji wa maadili ya taaluma ya uandishi wa habari katika Uchaguzi Mkuu. Kulia ni Meneja Idara ya Machapisho, Tafiti na Uhifadhi Hati, John Mireny.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--