Msajiri wa Mahakama Rufaa Tanzania, Francis Mutungi (kushoto),Jaji Kiongozi, Fakih Jundu (kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar, Hamid Mahamoud Hamid na Jaji wa Mahakama ya Rufani, Dk. Stephen Bwana (kulia) wakijadili jambo nje ya ukumbi wakati wakimsubiri Rais wa Zanzibar, Dk. Abeid Amani Karume kuwasili kwa ajili ya kufungua mkutano wa majaji wa nchi za Afrika Mashariki na Kati, kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi katika ukanda huo na uhalifu wa kimataifa, jana uliofanyika jana katika hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--