Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete(kulia) akiwasalimu wakina mama pamoja na kuangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili za mkoa huo Agosti 28,2010 alipowasili na kupokelewa katika uwanja wa ndege wa Mbeya ambapo.katika ziara yake Mama Salma Kikwete atakutana na wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Mkoani Mbeya na kuzungumza nao kuhusu umuhimu wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--