JK ATEMBELEA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MPUNGA MOROGORO

Rais Jakaya Kikwete akiangalia kilimo cha umwagiliaji cha mpunga kinachoendeshwa na Kampuni ya Kilombero Pantantions Limited, mkoani Morogoro. Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Carter Coleman na aliyeipa mgongo kamera ni Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Graham Anderson. (PICHA NA FREDDY MARO)
PG 6

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI