WALIOKUFA KWA AJALI YA BASI WAZIKWA KABURI MOJA KIBAHA, PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiwa na huzuni wakati wa mazishi ya watu waliokufa katika ajali ya basi la Deluxe, leo katika eneo la makaburi la AIR MSAE, mjini Kibaha. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Zainabu Vulu na Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu
Majeneza 12 yenye majivu ya miili ya watu waliopoteza maisha juzi kwenye basi la Kampuni ya Deluxe, ikiwa kwenye ibada ya kuaga miili hiyo kabla ya maziko yaliyofanyika makaburi ya Air Msae, Kibaha, mkoani Pwani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI

HATUNA TISHIO LA USALAMA MWANZA, HAKUNA WA KUJITANGAZIA JAMHURI YAO - RC MTANDA