ANATAFUTWA KWA TUHUMA ZA WIZI.

Kijana SALIM ISSA (Pichani) anatafutwa na Baba yake mzazi kwa kosa la wizi.

Baba yake ISSA ALLY MNGUO amesema kijana huyo ametoweka nyumbani tangu siku ya Jumatatu iliyopita.

MNGUO ameomba mtu yeyote mwenye mawasiliano na kijana huyo au atakayemuona popote pale atoe taarifa katika kituo cha polisi kilicho karibu yake au awasiliane na mzazi huyo kwa nambari za simu zifuatazo:- 0754 – 571810 au 0755 – 847787.

SALIM ISSA hupenda kutembelea maeneo ya Kibaha – Soga na Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA