ANGETILE OSIAH KUFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA INDIA

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Angetile Osiah (pichani) anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kichwa nchini India wiki ijayo.
Angetile ambaye alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili katika wodi ya taasisi ya Mifupa (MOI)kabla ya kuruhusiwa jana amesema kuwa upasuaji huo unafuatia matokeo ya vipimo na ushauri toka kwa madaktari.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.