BALOZI WA SUDAN AKUTANA NA RAIS SHEIN ZNZ


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Sudan Nchini Tanzania Dkt Yassir Mohamed Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman IKULU).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Sudan Nchini Tanzania Dkt Yassir Mohamed Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman IKULU).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Sudan Nchini Tanzania Dkt Yassir Mohamed Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,baada ya mazungumzo yao. (Picha na Ramadhan Othman IKULU).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI