MAFUNZO YA MICHEZO YA OLIMPIKI DAR

Mwenyekiti wa Michezo ya Olimpiki na Paralympic London 2012, Sebastian Coe ( aliyevaa fulana nyeusi katikati), akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliopatiwa vyeti baada ya kushiriki kujifunza michezo katika mpango wa maendeleo ya michezo kimataifa London 2012 Tanzania, Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Mkufunzi wa Michezo, Hamad Mdee na kushoto kwake ni Rais wa Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa Michezo (BMT), Dioniz Malinzi (wa pili kulia nyuma)

Coe akionesha jinsi ya kukimbia kwenye alama ya nagazi


Sebastian Coe akienda sambamba na mwanafunzi Aika Nicholaus aliyekuwa anajifunza mbio za kuruka viunzi.

Mmoja wa wanafunzi akiruka kiunzi katika mafunzo maalum ya michezo ya riadha
Mmoja wa wanafunzi akiruka kiunzi katika mafunzo maalum ya michezo ya riadha
Coe akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi walishiriki mafunzo hayo
Mmoja wa wanafunzi akikimbia kwenye alama ya ngazi katika mafunzo maalum ya michezo ya riadha

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA