MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM JANA JUMANNE HUKO SING'ISI ARUMERU

Licha ya jimbo la Arumneru Mashariki kuwa na tatizo la maji katika
baadhi ya maeneo, yapo maebeo mengine ambako serikali ya CCM imeweza
kuwafikishia wananchi maji ya bomba karibu na makazi yao. Pichani,
wanafunzi wakichota maji kwenye bomba la maji safi lililopo kijiji cha
Sing'isi jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
Mwigulu akionyesha kadi za TLP na ya CHADEMA alizokabidhiwa baada ya
aliyekuwa Katibu Mwenezi wa TLP Kata ya Seela Sing'isi, Augustine Kyungani
na aliyekuwa mratibu wa kampeni za CHADEMA Anna Silas kumkabidhi baada ya
kuhamia CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha
Sing'isi jana.
Aliyekuwa mratibu na mhamasishaji wa kampeni za CHADEMA katika uchaguzi
mdogo Arumeru Mashariki, katika kijiji cha Singisi, Anna Silas akikabidhi
kadi ya chama hicho kwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka baada
ya kutangaza kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni ulofanyika jana katika kijiji hicho. Wengine kutoka kulia ni Mwigulu Nchemba na Sioi
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha, Nameloki Sokoine akimuombea kura
mgombea wa CCM Sioi Sumari kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika
Kijiji cha Sing'isi,jana
Msafara wa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Arumeru MNashariki Sioi Sumari
ukitoka kwenye kambi ya CCM kwenda vijijini kwenye mikutano ya kampeni jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA