HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!
Kuna hali inazidi kushika kasi miongoni mwa wanaume wa kizazi hiki. Unakuta kijana anaonekana yupo sawa, ana tabasamu, ana marafiki, ana gari au hata ndoa lakini ndani yake kuna kilio kisichosikika, kuna mzigo Mkubwa usiobebeka, kuna uchovu wa kuishi maisha yasiyo yake. Mwanaume wa sasa amekuwa kama mchezaji wa maigizo. Anaigiza mafanikio, anaigiza furaha, anaigiza mapenzi yote ili aonekane yupo juu, awe na heshima mbele ya marafiki, aonekane “mwanaume wa maana” mbele ya jamii. Lakini ni wangapi wameangamia kwa sababu hiyo? Mashinikizo ya watu yamemweka mwanaume kwenye kona mbaya sana. Mwanaume anahisi hawezi kulalamika, hawezi kuomba msaada, hawezi kuanguka. Akilia anaitwa muoga. Akishindwa anaitwa dhaifu. Matokeo yake, anapigana na maisha peke yake mpaka anapotea kimya kimya. Depresheni inamla ndani kwa ndani, na hakuna anayejua. Leo hii kijana anaoa si kwa sababu ya upendo, bali kutimiza matarajio ya watu,jamii,washikaji,na marafiki. Anatafuta mwanamke “...
USAJILI ULIVYO HADI SASA....
1;Balla Mousa CONTÈ✅️ (Ashatambulishwa) 2;Mohammed DOUMBIA ✅️ (Bado utambulisho) 3;Lassine KOUMA✅️ (Bado utambulisho) 4;Celestin ECUA ✅️ (Bado utambulisho) 5;Andy BOYELI ⏳️(makubaliano yanaendelea) 6;Offen CHIKOLA ✅️(Ashatambulishwa) 7;Mohammed HUSSEIN MOHAMMED ✅️ Bado utambulisho) 8;Abdulnassir Mohammed ABDALLAH ✅️(Bado utambulisho) WANANCHI wanajipanga zaidi kuelekea mashindano ya kimataifa 🔥 Follow Yanga Pulse'#s 🙏🏾
WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE
Watetezi wa majimbo yao walioanguka 1. Stela Manyanya (Nyasa) 2. Emmanuel Mwakasaka (Tabora Mjini) 3. Charles Kimei (Vunjo) 4. Deo Sanga (Makambako) 5. Antipas (Malinyi) 6. Nagindu Butondo (Kishapu) 7. Joseph Kakunda, (Skonge) 8. Ally Makoa (Kondoa Mjini) 9. Mwarami, 10. Amsabi Mrimi (Serengeti) 11. Benaya Kapinga (Mbinga) 12. Issa Chinguile (Nachingwea) 13. Doroth Kilave (Temeke) 14. Issa Mtemvu (Kibamba) 15. Hassan Mtenga (Mtwara Mjini), 16. Isack Francis Mtinga (Iramba Mashariki) 17. Innocent Bilakwate - Kyerwa 18. Assa Makanika (Kigoma Kaskazini) 19. Vita Kawawa (Namtumbo) 20. Jesca Msambatavangu (Iringa Mjini) 21. Anania Thadayo (Mwanga) 22. Atupele Mwakibete (Busekelo) 23. Joseph Ndaisaba (Ngara) 24. Cosato Chumi (Mafinga) 25. Joseph Kizito Mhagama (Madaba) 26. Maimuna Mtanda (Newala V) 27. Stanslaus Nyongo (Maswa Mashariki) 28. Marco John Sallu (Handeni Mjini) 29. Dkt. Daniel Pallangyo (Arumeru Mashariki) 31. Prof. Patrick Ndakidemi (Moshi Vijijini) 32. Exhaud K...
HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA
1. Tafuta mwanamke ambaye hata ukimtumia 5k atakwambia asante na sio kukusonya. 2. Tafuta mwanamke ambaye anajua kuna kupata na kukosa katika maisha. 3. Tafuta mwanamke ambaye anaweza kupunguza matumizi yake yasio ya lazima, ili aweze kuishi ndani ya kipato chako. 4. Tafuta mwanamke ambaye anaelewa kuwa sio yeye pekee anayehitaji usaidizi wako, wapo wazazi wako na ndugu wengine pia. 5. Tafuta mwanamke ambaye hawapi nafasi wanaume wengine. 6. Tafuta mwanamke ambaye ndugu zako watakuwa huru kuja kwako. 7. Tafuta mwanamke hakukatii tamaa hata unapopitia magumu. 8. Tafuta mwanamke ambaye anakutia moyo kila mara. 9. Tafuta mwanamke ambaye anatamani wewe ndio uwe baba wa watoto wake. 10. Tafuta mwanamke ambaye anaamini katika akili yako na maono yako. 11. Tafuta mwanamke ambaye anakupa amani katika maisha yako. 12. Tafuta mwanamke ambaye wewe ndio utakuwa kipaombele katika kila kitu. 13. Tafuta mwanamke ambaye atakufichia madhaifu yako. 14. Tafuta mwanamke ambaye atatangaza mazuri yako kwa r...
MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...
i. Kutafuta Mtu Mbadala Kwa Haraka Kabla Moyo Haujapona ii. Kufanya Mambo Ili Umuoneshe Kuwa Unaendelea Vizuri iii. Kuchukia Kila Mtu Hata Wasiohusika iv. Kufanya Mbinu Za Kumdhuru v. Kuhitimisha Hautapata Mtu Mwingine Kama Yeye vi. Kujingiza Kwenye Tabia Hatarishi Ili Kupoteza Mawazo vii. Kujiondolea Thamani Katika Makala Hii Tutazungumzia Jambo La Saba - Kujiondolea Thamani Kuachana na mtu kunaweza kukuondolea kabisa thamani yako unayojipa. Yaani unaweza kujiona kuwa hauna thamani tena na hakuna anaekutaka tena. Usisahau kuwa, unaweza kuachana na mtu na tatizo lisiwe kwako bali likawa kwake. Sio kila wakati unapoachana na mtu basi ni wewe haufai, inawezekana ni yeye ndiye hakufai. Usijihukumu na kujiondolea thamani. Wewe bado ni wa thamani na kuna wengi wanakuhitaji. Yaani, wewe ni ndoto ya watu fulani, wanatamani kukupata. Ndio ile msemo wa kiswahili wanasema... “Wakati mwingine anasema ni wa nini, kuna mwingine anajiuliza nitampata lini?” Th...
RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027
Tanzania yaitaka Miss World 2027! Dkt. Samia Afanya Mazungumzo Ndoto ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya urembo, Miss World 2027, imechanua baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufanya mazungumzo muhimu na uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited. Kikao hicho cha kihistoria kilifanyika Julai 20, 2025, huko Kizimkazi, Zanzibar. Uongozi wa Miss World Limited uliongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake, Bi. Julia Evelyn Morley, akiambatana na mshindi wa taji la Miss World 2025, Bi. Opal Suchata Chuangsri kutoka Thailand, pamoja na Miss World Africa, Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia. Mazungumzo hayo, ambayo pia yalihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, pamoja na viongozi wa Maliasili na Utalii, yalilenga kujadili namna Tanzania inavyoweza kuandaa kwa mafanikio makubwa mashindano hayo makubwa ya kimataifa. Mazungumzo haya kati ya Rais Dkt. Samia na uongozi wa Miss World yana...
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....
# KWENYE #MAISHA #YAKO 1. Weka Mipaka ya Heshima (Set Boundaries): Sio kila mtu wa kumsaidia, sio kila mtu anastahili huruma yako. Tofautisha kati ya utu na kupuuzwa. 2. Jifunze Kusema “Hapana”: Ukitaka heshima, usiwe mtu wa ndiyo kwa kila jambo. Ukitumia nguvu zako hovyo, utamaliza heshima yako. 3. Jithamini Kabla Hujathamini Wengine: Usijitoe sadaka kwa watu ambao hata hawakuulizi unaendeleaje. Jiamini, jipende, jikubali. 4. Chagua Mpenzi Mwenye Moyo wa Kuthamini, Sio Kuokoa: Kama mwanamke ana majeraha ya zamani, hakikisha anajiponya mwenyewe. Usijaribu kuwa "daktari wa moyo wake" ukitegemea atakupenda zaidi. 5. Tafuta Misingi ya Maisha Yenye Malengo (Purposeful Living): Usijifungie kwenye kazi au mapenzi tu. Kuwa na maisha yenye dira: ndoto zako, afya yako, marafiki wa kweli. 6. Kua Kifedha na Kisaikolojia (Grow Financially & Emotionally): Jifunze uwekezaji, epuka utegemezi, weka akiba. Pia jifunze kujieleza, kusamehe, kujijenga kihisia. 7. Usikubali Uonevu Kazini a...
Comments