TAMASHA LA TIGO LA KUFUNGUA MWAKA LAFANA

 Sehemu ya umati wa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya ukishuhudia tamashala Tigo la Tabasamu la kufungua mwaka lililofanyika jana kwenye ufukwe wa Coco Dar es Salaam.
 Wasanii wa kundi la Tip Top Connection, wakifanya maajabu yao jukwaani. Kushoto ni Deso Mlawa na Hamad Ali 'Madew'.
 Baadhi ya vijana wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakiwa juu ya mti ili waone vizuri tamasha hilo
Mteja Rashid Rehani, akionesha simu aliyozawadiwa na Tigo, baada ya kujiunga na Tigo Pesa wakati wa tamasha hilo.
 Msanii wa kizazi kipya wa kundi la TMK Wanaume Halisi, Juma Kassim 'Juma Nature' akilishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tigo la Tabasamu la kufungua mwaka kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay, Dar es Salaam.
 Msanii Jumanne Omari 'JB ' akighani wakati wa tamasha hilo lililovutia watu lukuki
Msanii mtoto Dogo Lila (8) akifanya vitu vyake jukwaani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

DK. KIKWETE AZINDUA KITUO CHA AFYA KIZIMKAZI, APONGEZA MAENDELEO ZANZIBAR

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN