NMB MDHAMINI WA MKUTANO WA 23 WA WANACHAMA WA PPF YASHINDA TUZO YA MSHINDI WA PILI KWENYE UWAKILISHAJI WA MICHANGO YA WAFANYAKAZI KWA WAKATI


Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini , Vicky Bishubo (kulia) akipokea Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (wa pili kushoto), tuzo ya ushindi wa pili ya uwasilishaji PPF michango ya wafanyakazi wakati wa hafla za  taasisi za kifedha iliyofanyika  jijini Arusha, baada ya mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na Benki ya NMB kumalizika. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga.
 Baadhi ya wanachama wa PPF wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano wa 23 uliodhaminiwa ka NMB Bank

Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini , Vicky P. Bishubo (wa pili kushoto)akiwa pamoja na Meneja wa Mahusiano kutoka Kitengo ya Serikali cha NMB Bw. Elieza Msuya (kulia) wakizungumza na mwanachama wa PPF wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na benki ya NMB, jijini Arusha. Akiangalia ni Meneja Mahusiano NMB Kitengo cha Taasisi Bw. Sepi Mawalla(katikati

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA