ULINZI WAANZA KUIMARISHWA MADUKA MAKUBWA DAR BAADA YA WESTGATE KENYA KUTEKWA NA MAGAIDI

 Wateja wakikaguliwa kabla kuingia kwenye maduka katika Jengo la Biashara la Quality Centre, Dar es Salaam jana. Uongozi wa jengo hilo umeamua kuimarisha ulinzi wa namna hiyo kutokana na tishio la mashambulizi ya magaidi , hasa baada Mgambo wa Al Shabaab kushambulia Westgate Kenya na watu kadhaa kuuawa. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA