TIGO YAWAZAWADIA WATEJA 270 MAMILIONI YA KRISMASI

 Mratibu wa Promosheni za Tigo Pesa, Mary Ruta (kulia), akimkabidhi Mkazi wa Kijitonyama Dar es Salaam, Jane Shumbusi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 2 baada ya kuwa mmoja kati ya washindi 20 wa kiwango hicho cha fedha katika Promosheni ya 'Cheza Unaposhinda Kitita na Tigo Pesa' katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa wandindi, Makao Makuu ya Tigo, Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi 270 walitangazwa.
 Mratibu wa Promosheni za Tigo Pesa, Mary Ruta (kulia) akimkabidhi Mkazi wa Tabata Kisukulu, Dar es Salaam, Sebastian Monyo mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 2, baada ya kuwa mmoja wa washindi 20 wa promosheni hiyo.
Mary Ruta (kushoto) akitangaza washindi 270 wa promosheni hiyo.Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

USIKUBALI KUWA LOFA KWA MWANAMKE...