Rais wa Zanzibar Dkt.Shein Kuzindua Miradi Mitano ya Barabara Kisiwani Pembe kesho.


Moja ya Barabara kisiwani Pemba ya Mtambwe inayotarajiwa kuzinduliwa kesho na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
Mambo ya Miundombinu ya Barabara Kisiwani Pemba imekuwa ni ukombozi kwa Wananchi wa maeneo mbalimbali kurahisisha usafiri na kusafirisha mazao yao kwa urahisin hadi sokoni.

Mwananchi wa Bwagamoyo kisiwani Pemba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kukamilika kwa barabara yao ya Mtambwe imerahisisha usafiri na kuwa na uhakika wa usafiri katika kijiji hicho tafauti na hapo nyuma barabara hii ilikuwa ni mtihani kwa wakazi waKijiji hichi.








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO