MWIMBAJI WA KIMATAIFA WA NYIMBO ZA INJILI KEKE LETSO PHOOFOLO AWASILI DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKA
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Alex Msama akipeana mkono
na mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika ya Kusini,
Kekeletso Phoofolo mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya
tamasha la Pasaka litakaloanza kutimua vumbi kwenye Uwanja wa taifa
leo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (kulia), akiwa
na mwimbaji wa Kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika ya Kusini,
Kekeletso Phoofolo mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa taifa jijini
Dar es Salaam leo, kwa ajili ya tamasha la Pasaka litakaloanza kutimua
vumbi kwenye Uwanja wa taifa Jumapili.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Alex Msama akipeana mkono
na mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika ya Kusini,
Kekeletso Phoofolo mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la
Pasaka litakaloanza kutimua vumbi Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa.
Mwimbaji
wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini, Kekeletso
Phoofolo (kushoto), akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake mara baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Pasaka.
Kekeletso Phoofolo akisalimiana na mke wa Msama.
Kekeletso Phoofolo akisalimiana na mke wa Msama.
Mwimbaji
wa Kimataifa kutoka Afrika Kusini, Keke Letso Phoofolo (wa pili
kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promosheni, Alex Msama (kulia).
Mwimbaji
wa Kimataifa kutoka Afrika Kusini, Keke Letso Phoofolo akiwa katika
picha ya pamoja na waimbaji wake pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya
Msam,a Promosheni, Alex Msama (kulia).
Waimbaji
wa nyimbo za injili wakiwa katika picha ya pamoja pamoja na Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promosheni, Alex Msama. (wa nne kulia).
Mwimbaji
wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini, Kekeletso
Phoofolo (kushoto), akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake mara baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Pasaka.
Baadhi ya waimbaji wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Comments