KWELI MBUNGE FILIKUNJOMBE NI MBUNGE WA WATU

Mbunge wa  Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe  akiwa amejitwisha  kichwani ndoo ya maji juzi baada ya Kiongozi wa Mbio  za Mwenge  Kitaifa,  Rechel Kassanda kuzindua mradi  huo wa maji katika Kijiji cha Kipangala Ludewa mradi ambao  ulitokana  na ahadi  za mbunge huyo kwa  wananchi wa kijiji  hicho. (PICHA NA FRANCIS GODWIN)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA