MAJAMBAZI YAMPORA MWENZAO NA KUTOKOMEA NAYE BAADA YA KULIPIGA RISASI BASI LA MAGEREZA LILILOBEBA MAHABUSU DAR
Wananchi wakiliangalia basi la mahabusu la Jeshi la Magereza namba MT 0046, ambalo lilishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana na kudaiwa kumpora mahabusu mmoja na kutokomea naye leo katika Barabara ya Old Bagamoyo, karibu na Mayfair, Mikocheni, Dar es Salaam. Mahabusu wawili walijeruhiwa na askari mmoja wa magereza. PICHA NA WADAU WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
sehemu ya nyuma ya basi hilo ikiwa wazi baada kioo kusambaratishwa na kufanikiwa kumpitishia mwenzao
sehemu ya nyuma ya basi hilo ikiwa wazi baada kioo kusambaratishwa na kufanikiwa kumpitishia mwenzao
Comments