MUSSA HASSAN MGOSI ASTAAFU SOKA, ACHEZA DAKIKA 3 NA KUTKABIDHI UNAHODHA, SASA KUWA MENEJA WA TIMU YA SIMBA


 Mshambuliaji mwenye mashuti makali wa timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam, Mussa Hassan Mgosi, akiwa amembeba mtoto wake, mara baada ya kucheza dakika tatu, za kuaga kucheza soka kwenye pambano la spoka la kirafiki baina ya timu yake na URL ya Uganda kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 14, 2016. Mgosi baada ya kuchezea Simba kwa misimu 10 amestaafu soka na sasa atakua meneja wa timu hiyo. Miongoni mwa watu waliohudhuria sherehe hiyo ya kustaafu kwake, ni pamoja na Familia yake, mkewe Jasmin na watoto wake watatu. (PICHA NA K-VIS B;LOG/KHALFAN SAID)
 Mgosi akikokota mpira mbele ya mchezaji wa URL kwenye pambano la soka la kirafiki kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 14, 2016
 Familia ya Mgosi ikiongozwa na mkewe Jasmina, (katikati) na watoto wake, Amina (kushoto) na Hassan wakipiga makofi baada ya Mgosi kustaafu soka kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam
 Mchezaji wa Kimataifa wa Simba, Laudit Mavugo, akiipasua ngome ya URL
 Ibrahim Ajib, akikokota mpira
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI