JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;


Inachukua muda mrefu kumsahau ex wako ambaye mlikuwa mnapendana kimapenzi kwani Akili yako Inaweza kuvurugwa tena kutokana na matukio na simulizi mbalimbali mlizokuwa kuwa nazo Siku za nyuma, Hali hiyo inakufanya iwe vigumu kumsahau.  


Mambo yafuatayo yaweza kukusaidia kumsahau Ex Wako...


1. Futa picha na namba yake kichwani

 

2. Futa picha zake na mkwepe ukimwona


3. Fanya mazoezi ya kujifunza, ukiona unamuwaza mno pendelea kufanya michezo huna kazi


4. usiende sehemu ulizopita nae jiamini zaidi kwenye nyumba za ibada 


5. epuka mazoea na marafik zake


6. mtafutie kasoro aliyonayo ukimlinganisha na uliyenaye


7. Usithubutu kumfanya awe rafiki yako


8. Usithubutu kumpigia sehemu kumuuliza kitu chochote 


9. Karibu vitu vipya, Tafuta mwingine aliye mzuri zaidi yake wa kusex naye.


10. Tupa nguo zake na Kila kitu alichokuachia, usifikirie unataka kuendelea naye bali fikiria unataka kuwa na furaha tena.

 :

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO

NDOGO WA MUME WANGU ALIKUWA EX WANGU