Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Justine Nyamoga akielezea kuhusu yaliyojiri kwenye vikao vya kamati hiyo na baadhi ya wizara pamoja na majiji kuhusu utekelezaji wa maagizo ya Bunge Januari 14, 2025 bungeni Dodoma.
Baadhi ya watendaji wa Halmashauri za Majiji wakiwa katika kikao hicho.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wakiwa katika kikao hicho.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203
Comments