Waziri wa Afya, Jenista Mhagama akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi mpya ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jijini Dodoma leo Januari 21, 2025, ikiwa ni iashara ya uzinduzi rasmi wa bodi hiyo.
Mhagama akiwa na wajumbe wa bodi hiyo baada ya kuwakabidhi vitendea kazi.
Ameitaka bodi hiyo kila mipango wanayoifanya wahakikishe wanawakumbuke na kuwajali wananchi wa hali ya chini. Pia ameagiza kutomuonea haya mtumishi yeyote atakayeharibu taswira nzuri ya Taaisi hiyo.
Mhagama akiwa na wajumbe wa bodi hiyo baada ya kuwakabidhi vitendea kazi.
Baadhi ya wajumbe wa bodi.
Comments