TUMSHUKURU MUNGU KWA KUIPATIA NEEMA TANZANIA - ASKOFU CHANDE

 

Baadhi ya mambo yaliyojiri wakati wa Ibada ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2025 Makao Makuu ya Kanisa la Karmeli Assembilies of God (KAG),Ipagala jijini Dodoma.


Ambapo Askofu Mkuu wa Kanisa hilo,Dkt. Evance Chande ameanza kwa kutoa maneno ya kizalendo alipokuwa akiliombea Taifa amani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN