Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kuwa ukusanyaji wa mapato kwa mwaka uliopita umevunja rekodi na kwamba watanzania wengi wanaitikia kulipa kodi kwa hiari.
"Ashakumu si Matusi, tabia ya kutolipa kodi ni ushamba na ulipaji kodi ni ujanja,"amesema hayo Gerson Msigwa alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu utekelezaji wa serikali katika mambo mbalimbali katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Dodoma Januari 25, 2025.
Msigwa akisisitiza jambio wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wakiwa katika mkutano huo.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments