Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa ushauri juu ya:
(i) uboreshaji wa sera yetu ya maafa
(ii) upatikanaji wa ajira nchi za nje
Mbunge huyo amesema ajira za nje ya nchi zetu ni bidhaa mpya Duniani ambayo mwaka jana (2024) ilikuwa ya thamani ya USD bilioni 905.
Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Jumatatu, 14 April 2025
Comments