Baada ya kuondoka na alama zote (3) mbele ya Azam FC na kufikisha alama (67) wakiwa wamecheza mechi (25) na ikiwa imesalia michezo (5) dhidi ya.
𝐅𝐨𝐮𝐧𝐭𝐚𝐢𝐧 𝐆𝐚𝐭𝐞,𝐍𝐚𝐦𝐮𝐧𝐠𝐨 𝐅𝐂,𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐏𝐫𝐢𝐬𝐨𝐧𝐬,𝐃𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚 𝐉𝐢𝐣𝐢,𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐒𝐂* (Mchezo ambao Yanga wamesema hawatocheza) Wakati Wananchi wakiwa kileleni kwa tofauti ya alama (10) dhidi ya Simba SC
Hivi sasa Presha inahamia kwa watani zao wa Jadi Simba SC iliyosalia na michezo (8) dhidi ya.
𝐌𝐚𝐬𝐡𝐮𝐣𝐚𝐚 𝐅𝐂,𝐉𝐊𝐓 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚,𝐏𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐉𝐢𝐣𝐢,𝐊𝐌𝐂 𝐅𝐂,𝐒𝐢𝐧𝐠𝐢𝐝𝐚 𝐁𝐒,𝐊𝐞𝐧𝐠𝐨𝐥𝐝 𝐅𝐂,𝐊𝐚𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐒𝐮𝐠𝐚𝐫 na 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐒𝐂.
𝗡𝗕: 𝗞𝗶𝗸𝘄𝗮𝘇𝗼 𝗽𝗲𝗸𝗲𝗲 𝗸𝗶𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗽𝗼 𝗺𝗯𝗲𝗹𝗲 𝘆𝗮 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗻𝗶 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗖 𝗽𝗲𝗸𝗲𝗲, 𝗲𝗻𝗱𝗮𝗽𝗼 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗮𝗺𝘂𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗲𝘇𝗮 𝗺𝗲𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗗𝗮𝗯𝗶.
Comments