1. Kutokaa na familia yako kwa muda wa kutosha.
2. Kupuuzia mambo yahusuyo afya yako.
3. Kung'ang'ania mahusiano mabaya.
4. Kuchelewa kuwekeza pesa zako au kutowekeza kabisa.
5. Kuwaza sana wengine wanakuonaje.
6. Kutofuata ndoto zako.
7. Kufanya kazi sana na kutofurahia maisha.
8. Kuwa na vinyongo.
9. Kutosafiri wakati fursa ilikuwepo.
10. Kutojifunza ujuzi fulani au kujifunza kisha kutoufanyia kazi.
11. Kudhani kwamba bado una muda mwingi mbele yako.
12. Kutoomba msamaha ulipokosea
13. Kuruhusu kiburi chako kikuharibie mahusiano.
14. Kukata tamaa mapema.
15. Kuahirisha kumfanyia mtu jambo jema ulilokusudia.
16. Kuahirisha mambo kwa kusubiri wakati sahihi
17. Kumpuuza mtu anayekupenda.
18. Kuishi kwa kuwafurahisha wengine huku wewe ukididimia.
19. Kujua ukweli kisha unauficha
Habari na matukio Wasafi TV Binti Kigoma Xiaomi Tanzania Dorah Tz
Comments