Watu wenye ulemavu kusikia ambao baadhi yao ni wagombea ubunge Viti Maalumu wakitafsiriwa kwa lugha ya alama wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Makundi kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania (UWT) Taifa kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti 2, 2025.
Ikupa Alex akiomba kura ya ubunge wa Viti maalumu Tanzania Bara.
Dkt. Ummy Nderiananga akiomba kura kwa wajumbe.Veronica Timotheo mwenye ulemavu wa kuona akiomba kura kwa wajumbe ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments