Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Neema Majule ameihoji serikali bungeni kwamba ina mkakati gani wa kuwezesha wananchi kulipwa malipo sahihi ya uuzwaji wa hewa ya ukaa? na hatimaye kupatiwa majibu na Dkt. Festo Ndugange Naibu Waziri wa TAMISEMI, Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 30, 2026.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments