BILAL AMJULIA HALI MALECELA

Mama Asha Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu, John Malecela, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma na Makamu wa Rais, Dk.Mohammed Gharib Bilal (kulia).Malecela amerejea nchini baada ya hivi karibuni kufanyiwa upasuaji nchini India.(PICHA NA MUHIDIN SUFIAN-OMR)
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu, John Malecela, alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma ,kumjulia halileo baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. (PICHA NA MUHIDIN SUFIAN-OMR)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE