Mhasibu Mwandamizi kutoka Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha, Bi. Macelina Haule, akimsikiliza Mzee Saidi Mchimile, aliyekuwa akiuliza kuhusu mafao ya uzeeni, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Usimamizi wa Bajeti, Bw. Boniface Kilindimo, akitoa elimu ya Bajeti kwa , Bw. Etiene Ismail (katikati) na Collins Shirima, walipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Afisa Mwanndamizi kutoka Idara ya Uchambuzi wa Sera, Wizara ya Fedha, Bw. Lelansi Mwakibibi, akisikiliza maswali ya Mzee Abuu Masro, baada ya kupewa elimu ya Sera na faida yake kwa jamii, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara...
- Get link
- X
- Other Apps