1). Wanawake hawapendi wanaume,atakuwa hapo kwa sababu kuna potentials anaona kwako.
2). Women are more loyal to their feelings than your sacrifices
3). Hauwezi kununua hisia za kweli kweli kwa mwanamke kwa kutumia pesa.
4). Thamani na heshima unaitengeneza mwenyewe.
5). Achana na wanawake wa college na chuo kama huko umeshapita.
6). Mwanamke hawezi kulea mtoto wa kike vizuri pekeyake.
7). Ukimsamehe mwanamke wako kwa kosa lisilohitaji msamaha, atarudia kufanya kosa hilo akijua utamsamehe tena huku anakulaumu kwa kumsamehe.
8). Usicheze nafasi ya Baba kwa mwanamke ambae haujamuoa.
9). Kushika mimba ya mwanaume ambae hajakuoa ni kosa.
10). Utakavyoanza na mwanamke ndivyo unatakiwa kuendelea nae na kumaliza nae.
11). Kama Baba yako haonyeshi upendo kwako muulize Mama yako na usihukumu kwa kusikia upande mmoja.
12). Kuwa makini na single mother.
13). Mwanaume ndie anaoa, hakuna kuoana.
14). Usioe malaya anaefahamika.
15). Jamii inathamini mwanamke kuwa na standards ila ni kosa kubwa mwanaume kuweke standards za juu kabisa katika kuoa.

Comments