Alichoandika Alikamwe baada ya sare dhidi ya TRA United.
Tumepata Sare Lakini bado kimahesabu Tuko Kileleni kwa Faida ya Pointi ... Tuweke Akili, Nguvu na hesabu zetu kwenye mchezo wa Jumamosi In Shaa Allah
Tuzipambanie kwanza hizi Pointi 3️⃣ ili tuende kwenye Mapumziko ya Ligi tukiwa Juu ya Msimamo halafu baada ya hapo Tutapata muda wa kutosha na utulivu mzuri wa kufanya Tathmini ya Timu yetu
Hizi Hila nyingine na Roho mbaya za wachawi Baadhi zilianza tangu Msimu uliopita.. na Kama Tuliweza kuzishinda na Tukabeba Ubingwa wetu kwa Kishindo, INAWEZEKANA NA MSIMU HUU
We are Young Africans Sports Club and we will bounce Back TUKIWA IMARA ZAIDI👊
TUKUTANE DODOMA WANANCHIđź”°
#daimambelenyumamwiko
"

Comments