ATHARI ZA MVUA DAR

Magari, pikipiki na Guta vikipita kwenye dimbwi kubwa la maji ya mvua leo katika barabara ya Uhuru karibu na mzunguko wa Msimbazi.
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakilikwepa moja ya madimbwi ya mvua iliyonyesha leo jijini.
Hapo ni katika barabara ya msimbazi, Kariakoo mbele ya Jengo la DDC Kariakoo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--