MAZISHI YA ASKARI ALIYEUAWA NA JAMBAZI MWANZA

Baadhi ya Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu Kijanda wakielekea kuzika huko Kahangara Magu,
Askari wa Jeshi la Polisi wakitoa heshima wakati wa mazishi ya askari mwenzao marehemu PC Kijanda Mwandu, katika makaburi ya kifamilia eneo la Kahangara, wilayani Magu, Mwanza juzi, Mwandu aliuawa kwa kupigwa risasi shingoni na jambazi wakati akiwa katika harakati za kumkamata.( PICHA NA NMASHAKA BALTAZAR)
                          Polisi wakiweka chini jeneza la marehemu kabla ya mazishii
                                                 Jeneza lenye mwili wa marehemu Kijanda

Maaskari wakiushusha mwili wa maremhu PC Kijanda kaburini ,mazishi yaliyofanyika Kahangara Magu
                      Baadhi ya ndugu, jamaa wa marehemu wakiweka mashada juu ya kaburi la PC kijanda
Robert Manumba (DCI) akitoa salamau za jeshi la polisi baada ya mazishi ya PC Kijanda aliuawa na jambazi kwa risasi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--