MAFUTA MAPYA YA NYWELE YAZINDULIWA

Meneja masoko wa kampuni ya MIADI Bibi Mariam Boadi kushoto akionyesha mafuta ya nywele ya Miadi kwenye uzinduzi na semina kwa wasambazajhi na wenye saloon jijini Dar Es Salaam kulia ni Mtaalam wa matumizi wa dawa hito Bwana Sammy Mwachofi
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Miadi Bwana David Kamau akizungumza na washiriki wa semina ya matumizi ya mafuta ya Nywele ya Miadi kwenye uzinduzi uliofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar Es Salaam Hivi karibuni kushoto ni Meneja masoko Bibi Mariam Boadi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--