MGAMBO WAWAFUNGIA NJE WAFANYAKAZI NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA

 Mgambo wa Manispaa ya Ilala wakiwa nje ya lango kuu la kuingia ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Dar es Salaam leo ambapo walizuia wafanyakazi na  Mkurugenzi wao Gabriel Fuime, asiingie mpaka wajue hatima ya madai yao ya kimasilahi dhidi ya Manispaa hiyo.
Wafanyakazi wakiwa nje ya lango kuu la Manispaa ya Ilala, baada ya kuzuiwa na Mgambo
 Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (kushoto) akisindikizwa na Askari Polisi, alipowasili kutaka kuzungumza na Mgambo waliogoma na kumzuia asiingie ofisini
Mkurungenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akitafakari ni namna gani atawashawishi Mgambo kuacha mgomo na kuwafunguliwa lango lililokuwa limefungwa
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana  akiingia Manispaa ya Ilala kusuluhisha mgogoro wa Mgambo na Uongozi wa manispaa hiyo
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Fuime akijieleza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Rugimbana
Rugimbana (kulia) akizungumza na Mgambo akiwasihi wamalize mgomo huo na kufungua milango waliyofunga

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--