|
Wachezaji wa Yanga wakishangilia huku wakiwa na Kombe la Kagame, baada ya kutawazwa tena kuwa wafalme wa michuano ya soka ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kwa kuibwaga Azam FC mabao 2-0. |
Kocha Mkuu wa Yanga, Tom akiungana na wachezaji kushangilia ubingwa huo
Mashabiki wakiungana na wachezaji wa Yanga kushangilia ubingwa huo
Mmiliki wa Blogu ya Michuzi, Muhidini Michuzi akiendelea kuchukua matukio
Ubao ulivyokuwa unaonekana baada fainali hiyo kumalizika
Comments