VIONGOZI WA UAMSHO ZANZIBAR WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA ULINZI MKALI

 Kiongozi wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed akishuka kwenye gari la polisi huku akilindwa vikali na Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU, alipofikishwa leo yeye na viongozi wenzie katika  Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe na kusomewa mashitaka ya kufanya fujo na uchochezi. (PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR)

                           Mmoja wa askari wa FFU akiwa amesheheni salaha hadi mapajani
                                FFU wakiwasili na watuhumiwa  hiku wakiwa wamesheheni silaha za kila aina

 Mmoja kati ya viongozi wa Uamsho Zanzibar,  Shekh Azan Khalid Hamdan (43) akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo yeye na wenzie akiwemo kiongozi wao, Farid Hadi Ahmed walisomewa mashitaka ya kufanya fujo na uchochezi.
                                                                Msafara ukielekea mahakamani
 Baadhi ya Wananchi wakiwa mahakamani hapo kushuhudia kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho ambao walikosa dhamana na kurudishwa rumande.
                                    FFU wakiwasili katika Mahakama ya Mwanakwerekwe.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI