PANTONI YA MV MAGOGONI LAKWAMA BAHARINI DAR

Kivuko kikubbwa cha MV Magogni leo kimekwama katikati ya bahari katika Bandari ya Dar es Salaam kutokana na hitilafu za kiufundi kwenye injini.Pantoni hilo linafanya safari kati ya Kigamboni na Magogoni, Dar es Salaam.

Kitendo hicho kiliwatia hofu abiria lukuki waliokuwa wamepanda pantone hilo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE