WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUWEZA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA IKIWA WANAADHIMISHA MIAKA 3 YA KUZALIWA KWA KLABU YA BONGO MOVIE


 Shamsa Ford akiongea na Waandishi wa Habari.
 
  Mwenyekiti wa Bongo Movie, Bw Steve Nyerere akiongea na Waandishi wa habari wakati walipotembelea hospitali ya Mwananyamala leo na kukabidhi misaada ikiwa wanaadhimisha miaka 3 ya Kuzaliwa kwa Klabu ya Bongo Movie.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi wakati Kampuni ya Mabibo Beer wakishirikiana na Wasanii wa Bongo movie walipotembelea Hospitali ya Mwanyamala ikiwa wanaadhimisha miaka mitatu ya Kuanzishwa kwa Klabu ya Bongo Movie.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE