MAELFU WAMZIKA AISHA MADINDA KIGAMBONI

 Mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mnenguaji wa Bendi ya The African Stars (Twanga Pepeta), marehemu Mwanaisha Mbegu 'Aisha Madinda' ukiombewa dua nyumbani kwao Magogoni Kigamboni, Dar es Salaam. Alizikwa kwenye makaburi ya Tuangoma Kigamboni.
 Waombolezaji wakilia huku wengine wakiwa na majonzi
 Mwili ukishushwa nyumbani kwao marehemu Aisha Madinda eneo la Magogoni, Kigamboni
   Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mnenguaji wa Bendi ya The African Stars (Twanga Pepeta), marehemu Mwanaisha Mbegu 'Aisha Madinda' tayari kuombewa dua nyumbani kwao Magogoni Kigamboni, Dar es Salaam. Alizikwa kwenye makaburi ya Tuangoma Kigamboni.
 Akina mama waombolezaji wakiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu
 Mtoto wa Aisha Madinda (aliyelala katikati) akilia na baadaye kupoteza fahamu
 Aliyekuwa bosi wa marehemu Aisha Madinda, Asha Baraka 9kushoto) akiwa katika msiba huo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--