CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WATEMBELEA TBL DAR

 Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utaliiwakipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL),Castor Massawe (mbele katikati) jinsimalighafi za nafaka zinavyohifadhiwa katika ghala, walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam juzi.
 Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu upishi wa bia kwa njia ya kompyuta wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam juzi.
 Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu uchachuaji wa bia kwa njia ya kisasa wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam
 Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu uchachuaji wa bia kwa njia ya kisasa wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam
 Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu uchujaji wa bia kwa njia ya kisasa wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam
Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii, wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam juzi, ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--