JK AKAGUA JENGO JIPYA LA KISASA LA CCM DODOMA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.

 Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma(picha na Freddy Mar

1.      2.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE