DC KILOLO ASHIRIKI KUFYEKA VICHAKA NA NYASI NDEFU NJE YA OFISI YAKE ,


Mkuu  wa  wilaya  ya  Kilolo Bi Asia  Abdalah  akishirikiana na  wanafunzi  wa  shule  ya  Sekondari Kilolo  kufanya  usafi  wa  kufyeka  nyasi nje  ya  ofisi ya  mkuu  huyo wa  wilaya  juzi kama  sehemu ya  kuitikia agizo la  Rais Dr John Magufuli la  kila jumamosi ya  mwisho  wa mwezi  ni  siku ya  usafi
Jengo  la ofisi  la ofisi ya  DC Kilolo
Kaimu  mkurugenzi  wa  Halmashauri ya  Kilolo  akishiriki  usafi nje ya  ofisi ya  DC  Kilolo
Watumishi  Kilolo  na  wanafunzi   wakifanya  usafi  ofisi ya  mkuu wa wilaya ya  Kilolo mkoani Iringa
Mkuu  wa  wilaya  ya  Kilolo Bi Asia Abdalah  na  wakuu wa   idara  katika  Halmashauri ya Kilolo  wakiwa  wameungana na  wanafunzi  wa  shule  ya  sekondari  Kilolo  kusafisha  mazingira  yanayozunguka  ofisi ya  mkuu  wa wilaya ya Kilolo
DC  Kilolo  akishiriki  kufyeka  vichaka na majani  yaliyokuwepo nje ya  ofisi  yake
Usafi  nje ya  ofisi ya  DC  Kilolo
Mtumishi  wa Halmashauri ya  Kilolo  akichoma moto nyasi  zilizokusanywa
Mkazi  wa Luganga  Kilolo  akishiriki  kufanya  usafi  kuzunguka  nyumba  yake  kama  sehemu ya  kuitikia  wito  wa mkuu  wa  wilaya ya  Kilolo
DC  Kilolo  akishiriki  usafi na  wanafunzi  wa  shule ya  msingi  Kilolo
DC  Kilolo  akiwapongeza  wananchi  wa watumishi  Kilolo kwa  kujitokeza  kufanya usafi
DC  Kilolo  Bi  Asia  Abdalah  akiwa na wanafunzi wa baadhi ya  watumishi wa Kilolo walioshiriki  usafi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--