Mkurugenzi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi na Prof. Martin
Valler Mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Afya wa Chuo kikuu cha Witwatersrand cha
Nchini Afrika ya Kusini wakiangalia jinsi upasuaji wa bila kufungua kifua (Catheterization)
unavyofanyika katika chumba Cath Lab kilichopo katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akielezea jinsi
upasuaji wa Magonjwa ya Moyo unavyofanyika katika taasisi hiyo wakati wageni kutoka Chuo kikuu cha Witwatersrand
cha Nchini Afrika ya Kusini walipotembelea
wodi aliyokuwa amelazwa mmoja wa wagonjwa aliyefanyiwa upasuaji. Kutoka kulia
ni Prof. Martin Valler, akifuatiwa na
Afisa Muuguzi Roger Kibula, watatu kulia ni Prof. Simon Nemutandani na wa pili
kushoto ni Dkt. Marion Bergman.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwaonyesha
wageni kutoka Chuo kikuu cha Witwatersrand cha Nchini Afrika ya Kusini sehemu ya malipo ambapo wagonjwa wanalipia
huduma. Wageni hao walitembelea Taasisi hiyo hivi karibuni ili kuona huduma za
matibabu ya moyo wanazozifanya pia
waliahidi kuimarisha mahusiano kati
yao hii ikiwa ni pamoja na kutoa
ufadhili wa masomo kwa madaktari wataokwenda kusoma katika chuo hicho.
Daktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mhadhili kutoka chuo Kikuu kishiriki cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) Prof. Johnson Rwakatare akimuonyesha vipimo vya moyo (ECHO) Prof. Martin Valler Mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Afya wa Chuo kikuu cha Witwatersrand cha Nchini Afrika ya Kusini alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete hivi karibuni.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akiwaeleza wataalamu wa afya kutoka Chuo Kikuu cha Minnesota cha nchini
Marekani huduma za matibabu ya moyo wanazozitoa wakati walipoitembelea Taasisi hiyo hivi karibuni.

Picha
na Anna Nkinda - JKCI

Comments